Matokeo Brazil vs Germany/Ujerumani 27 March 2018

  0

  Matokeo Brazil vs Germany/Ujerumani 27 March 2018

  Timu ya Taifa Ya Brazil ikicheza kwenye ardhi yake ya Nyumbani dhidi ya Ujerumani katika mchezo wa Kirafiki imefanikiwa Kushinda bao 1 kwa 0.

  Bao hilo pekee kwenye mchezo huo limefungwa na Gabriel Jesus anayecheza katika klabu ya Manchester City katika dakika ya 37 ya Mchezo Huo.

  Mechi hiyo  msomaji wa Kwataunit.com Ilikuwa ni ya Kwanza toka Brazil alipofungwa na Ujerumani kichapo cha aibu cha bao 7 kwa 1.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY