DEMO

  Matokeo Azam Sports(Kombe La Shirikisho) Stand United vs Njombe Mji 30.3.2018

  0

  Matokeo Azam Sports(Kombe La Shirikisho) Stand United vs Njombe Mji 30.3.2018

  Mpira Ni Mapumziko Stand United Wanaongoza kwa bao 1 kwa 0 bao Likipatikana dakika ya 12 kupitia kwa Bigirimana Blaise. Tutakuwekea Matokeo Kulingana na Mechi inavyoendelea.

  KIPINDI CHA PILI

  Dakika ya 55

  Stand United 1 – 0 Njombe Mji

  Dakika ya 60 bado Stand 1 – 0 Njombe Mji

  Dakika ya 70 Mizani inaonekana kubalance timu zote zinapokezana kushambulia

  Dakika ya 80

  Zimeongezwa dakika 4

  Stand 1 – 0 Njombe

  FULL TIME

  Stand United 1 – 0 Njombe Mji

  Stand United baada ya Ushindi wa leo wanafuzu hatua ya Nusu Fainali.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY