Maneno ya Ibrahim Ajibu kuelekea mchezo dhidi ya Township Rollers

  0

  Maneno ya Ibrahim Ajibu kuelekea mchezo dhidi ya Township Rollers

  Kuelekea mchezo kati ya  wa klabu bingwa barani Afrika kati ya Township Rollers  dhidi ya Yanga  mshambuliaji wa timu ya Yanga Ibrahim Ajibu amesema wao kama wachezaji wamedhamiria kuondoka na Ushindi.

  Yanga  msomaji wa Kwataunit watashuka dimbani wakitafuta Ushindi wa kuanzia bao 2 kwa 0 au ushindi wa Bao 3 kwa 2 kwani Akiishia kushinda bao 1 kwa 0 hali bado itakuwa tete.

  “‘tumedhamiria kuondoka na ushindi jumamosi ili tusonge mbele hatua ya makundi klabu bingwa Afrika . Kikubwa dua na kudra za mwenyezi Mungu “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY