Mambo mawili ambayo Simba hawajategemea walipotua tu Misri

  0

  Mambo mawili ambayo Simba hawajategemea walipotua tu Misri

  Simba tayari wameshafika nchini Misri na tayari wapo katika Mji wa Port Said Mji ambao pambano lao dhidi ya AlMasry ndipo litachezwa Siku ya jumamosi kuanzia majira ya SAA mbili na Nusu usiku kwa muda wa Tanzania.

  Mambo mawili ambayo Yamewashangaza Simba toka wamefika Misri.

  Klabu ya Simba ambayo ilifikia Mji mkuu wa Misri Cairo kwa ndege moja ya kitu kilichowashangaza  nilikuwa ni kumkuta balozi wa Tanzania nchini Misri Jen. Suleiman Nassor akiwasubiri usiku Mnene uwanja wa Ndege.

  Lakini kubwa jingine ambalo hawakutegemea msomaji wa Kwataunit ni usalama ambao wamekuwa wakipewa toka wanaingia Misri katika uwanja wa Ndege mpaka wanaingia Port Said imekuwa ni hali ya Juu ya Usalama ameleza mmoja ya viongozi walioongozana na timu ya  Simba huko Misri.

   

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY