Ligi kuu VPL kuendelea leo Ratiba iko hivi

  0

  Ligi kuu VPL kuendelea leo Ratiba iko hivi

  Ligi kuu Soka ya Tanzania bara  inatarajia kuendelea Leo kwa mchezo mmoja kati ya mabingwa watetezi wa ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans watakaokuwa wenyeji wa Stand United uwanja wa Taifa mechi itakayoanza SAA kumi kamili .

  Msimamo ulivyo kwa timu zote

  Stand United msomaji wa kwataunit wapo katika nafasi ya 11 wakiwa na points zao 22 wakati Yanga wakiwa nafasi ya 3 Mara baada ya Jana azam kushinda na kukaa katika nafasi ya Pili, Yanga wanapoints 43 wakati Azam wakiwa na Points 44 huku Azam wakiwa mbele kwa Michezo miwili

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY