Kocha Wa Congo ataja wachezaji wawili hatari zaidi Taifa Stars

  0

  Kocha Wa Congo ataja wachezaji wawili hatari zaidi Taifa Stars

  Kocha Mkuu wa Timu ya DR Congo Ibenge Florent amekipongeza Kikosi cha Taifa Stars kwa Ushindi dhidi yao wa Bao 2 kwa 0 magoli yakifungwa na Samatta na Kichuya.

  Kocha Huyo msomaji wa Kwataunit.com amesema walijipanga Kushinda lakini imeshindikana kutokana na Taifa Stars kucheza vizuri zaidi yao.

  Huku akiwamwagia sifa Samatta na Msuva kutokana na Kucheza mpira mzuri na wa Kasi kiasi cha kuwapa nafasi ya Kuwafunga, Ibenge amesema wachezaji wake waliwaruhusu wachezaji wa Stars kuwatawala katikati wakati kasi ya Samatta na Msuva haikuwa ya kawaida.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY