Kocha Lechantre afichua anachokubali zaidi kwa Bocco,Atamani wengine wamuige

  0

  Kocha Lechantre afichua anachokubali zaidi kwa Bocco,Atamani wengine wamuige

  Kocha Mkuu wa Simba Mfaransa Pierre Lechantre amemwangia Simba mshambuliaji wake John Bocco na kusema moja kati ya vitu ambavyo anavipenda kwa Bocco ni uwezo wake wa Kuruka Juu na Kucheza mipira ya vichwa.

  Lechantre msomaji wa kwataunit alimwagia sifa nahodha wake, John Bocco kwa kuwa imara kwa mipira ya juu, ambapo kichwa chake ndicho kilichotengeneza penalti ya bao la kwanza baada ya beki mkongwe raia wa Burkina, Faso Mohamed Koffi kunawa mpira huo wa kichwa cha Bocco.

  “Napenda jinsi Bocco anavyojituma katika mipira ya juu, kwenye mchezo uliopita dhidi ya Al Masry  ni mtu pekee aliyekuwa bora kila alipokuwa akiruka na mabeki wao, napenda wengine hasa mabeki na viungo wawe hivyo.”

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY