Kikosi cha Uganda Kilichoitwa Kuwavaa Malawi,Okwi na Juuko Vipi?

  0

  Kikosi cha Uganda Kilichoitwa Kuwavaa Malawi,Okwi na Juuko Vipi?

  Kocha Mkuu wa Uganda Sebastien Desabre ametaja kikosi cha wachezaji 23 watakaocheza mechi 2 za Kirafiki moja dhidi ya Malawi March 24 Katika uwanja wa Mandela na Mchezo mwingine ukiwa bado haujathibitishwa.

  Katika Kikosi hiko Mwalimu Amewajumuisha wachezaji hao wanaocheza katika kikosi cha Simba.

  Full squad

  Goalkeepers: Dennis Onyango Mamelodi Sundowns, South Africa, Salim Jamal (El Meriekh, Sudan), Robert Odongkara (St George, Ethiopia).

   

  Defenders: Dennis Iguma (Al Nabi Shayth-Lebanon), Nico Wakiro Wadada (Vipers SC, Uganda), Isaac Isinde Not attached), Brevis Mugabi Yeovil Town, England) Murushid Jjuko (Simba, Tanzania), Timothy Awany (KCCA FC, Uganda), Godfrey Walusimbi (Gor Mahia-Kenya), Alex Kakuba (Feirense-Portugal).

  Midfielders: Joseph Ochaya (Lusaka Dynamos, Zambia),Farouk Miya Sebai FK, Azerbaijan) , Hassan Wasswa (El Geish, Egypt), Khalid Aucho (East Bengal, India), Geoffrey Kizito Baba (Than Quang Ninh-Vietnam), Milton Karisa (Vipers SC, Uganda), William Luwagga Kizito (CSMA Iasi, Romania), Abraham Ndugwa (Masavu FC, Uganda)

  Forwards: Emmanuel Okwi (Simba, Tanzania),Yunus Ssentamu (FK Tirana), Edrisa Lubega (Floridsdorfer AC, Austria),Hood Kaweesa (Buildcon FC, Zambia).

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY