Kikosi cha Taifa Stars kilichotangazwa Leo,Kessy,Wazanzibar 5 waitwa

  0

  Kikosi cha Taifa Stars kilichotangazwa Leo,Kessy,Wazanzibar waitwa

  Kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye tarehe za kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria na DR Congo kimetajwa leo Alhamis Machi 8, 2018.

  Katika Kikosi hiko Beki wa Kulia wa Yanga ambaye amekuwa na Kiwango bora Siku za Karibuni amejumuishwa, Huku baadhi ya Vichwa vipya Kutoka Zanzibar navyo Vikijumuishwa kama Mohammed Abrahman (Wawesha)  golikipa wa Zanzibar, Abdulaziz Makame, Feisal Salum na Mohammed Issa na Mudathir Yahya ambao wamewahi kuitwa.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY