Kichuya aandika Ujumbe wa Faraja kwa wana Simba baada ya kuifungia  Taifa Stars goli

  0

  Kichuya aandika Ujumbe wa Faraja kwa wana Simba baada ya kuifungia  Taifa Stars

  Winga wa Timu ya Taifa na Timu ya Simba Shiza Kichuya ameandika Ujumbe ambao huenda ukawa faraja kwa Wana Simba ikiwa ni muda mchache toka alipoifungia Timu ya Taifa Goli na Kutoa Assist ya Goli la Kwanza la Taifa Stars.

  Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Shiza Kichuya amepost Picha tatu zilizounganishwa Moja akionekana kupongezwa Na Samatta, Moja akiwa amebebwa na Samatta na Moja ya Simon Msuva akiwa amekaa uwanjani na Kisha Kuandika Caption ya “TUKUTANE VPL ”

  Ni wazi kuwa Kichuya msomaji wa Kwataunit  anamaanisha kuwa kwa Mambo aliyoyafanya kwenye mchezo dhidi ya Congo kwa kutoa Assist na Kufunga Bao basi watu wakutane naye tena Ligi Kuu VPL.

  Hata Hivyo baadaye mchezaji huyo aliifuta Post hiyo .

   

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY