Ifahamu Rekodi ya Kocha Salum Mayanga mechi 16 Taifa Stars

  0

  Ifahamu Rekodi ya Kocha Salum Mayanga mechi 16 Taifa Stars

  Kocha Mkuu wa Taifa Stars  Salum Mayanga ambaye mkataba wake wa Kuifundisha Timu ya taifa Umeisha toka mwezi February ameitumikia timu ya Taifa kwa michezo 16 mpaka ule wa Jana dhidi ya Congo.

  Katika Mechi hizo 16 ambazo kocha Salum Mayanga amekiongoza ikosi cha Taifa Stars ameshinda Jumla ya Mechi 7 na Kutoa Sare Jumla ya Mechi 7 na Kufungwa michezo miwili pekee.

  Unakumbuka Mechi Stars ilizopoteza Ikiwa na Mayanga?

  Mechi hizo Mbili ambazo Taifa Stars ilipoteza Ikiwa na Kocha Salum Mayanga msomaji wa Kwataunit ni ule wa Nusu Fainali ya COSAFA dhidi ya Zambia na Mchezo mwingine Ukiwa Dhidi ya Algeria  Stars ikifungwa 4 kwa 1.

   

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY