Idadi ya Magoli ya Simon Msuva Klabu Bingwa Afrika na Ligi Kuu Morocco

  0

  Idadi ya Magoli ya Simon Msuva Klabu Bingwa Afrika na Ligi Kuu Morocco

  Kiungo wa klabu ya Diffa El Jadida ya Morocco Mtanzania Simon Msuva Moto wake si wa kitoto kwenye michuano ambayo amekuwa Akishiriki kwenye Ligi Kuu ya Kwao Morocco na hata ile ya Klabu Bingwa barani AFrika.

  Mpaka sasa Msuva anajumla ya MAGOLI sita katika Ligi kuu ya Morocco, Huku akiwa ni mtu wa tatu kwakuwa na Magoli mengi kwenye klabu yake ya Diffa baada ya Bilal El Megri mwenye mabao 8 na Hamid Ahaddad mwenye mabao 7.

  Anayeongoza kwa magoli kwenye Ligi nzima msomaji wa Kwataunit ni Mchezaji kutoka Raj Casablanca Mouhcine Iajour akiwa na Magoli 14.

  Klabu Bingwa barani Afrika Simon Msuva nako si haba sana kwani kwani mpaka sasa anajumla ya magoli 4 aliyofunga huku timu yake ikiwa imeingia hatua ya Makundi.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY