Hali ya Okwi baada ya Kuonekana Kuumia mechi dhidi ya Al Masry

  0

  Hali ya Okwi baada ya Kuonekana Kuumia mechi dhidi ya Al Masry

  Huku kukiwa na Hofu kwa washabiki, wanachama na wapenzi wa Vinara wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Klabu ya Simba Juu ya Mchezaji wao Emmanuel Okwi mara baada ya jana mwishoni mwa Mchezo kati ya Simba na Al Masry kuonekana kuumia.

  Okwi  msomaji wa Kwataunit.com katika mchezo wa Jana alisababisha penati na kufunga penati hiyo imeelezwa na Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara kuwa hali yake Iko poa na kesho Ataanza mazoezi kama kawaida na timu.

  ” Okwi anaendelea vizuri ilikuwa ni maumivu ya misuli tu anaendelea vizuri na kesho anaanza mazoezi kama kawaida ”  alimaliza Haji Manara

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY