Haji Manara kimya Mkemi aandika haya baada ya Ushindi wa Yanga dhidi ya Stand

  0

  Haji Manara kimya Mkemi aandika haya baada ya Ushindi wa Yanga dhidi ya Stand

  Soka ni mchezo wa Utani mwingi na Utani huja zaidi Mara baada ya watani mmoja kufanya vizuri zaidi ya mwenzake au hata mmoja anaposhinda.

  Moja kati ya watu wenye Utani mwingi  ni Haji Manara kwa upande wa Simba lakini upande wa Yanga yupo Salum Mkemi ambaye ni mjumbe wa kamati ya Utendaji klabu ya Yanga

  Siyo kawaida kwa Manara kukaa kimya hata Yanga inaposhinda amekuwa anatia neno lakini toka Yanga imeshinda dhidinya Kagera hajatoa Dongo kwa Yanga wakati mwenzake Mkemi Baada ya Ushindi wa bao 3 kwa 1 Mkemi kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika

  ” Jambo letu tumeliweka sawa Kutwa mara tatu Dokta huyu hapa anaonyesha mjiandae kunywa Dozi
  Dozi hii kwa yoyote yule ajae Mbele”

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY