Haji Manara atamani mchezaji huyu wa Azam kutua Simba

  0

  Haji Manara atamani mchezaji huyu wa Azam kutua Simba

  Ukiwa na uwezo macho ya watu yataona , midomo itaongea tu kuhusu wewe kuwa unauwezo ndicho unachoweza kukisema kwani kwa Uwezo ambao amekuwa akiuonyesha mchezaji wa Azam Fc Iddi Kipangwile maarufu kama Mtoto Iddi umesababisha mpaka Afisa Habari wa Simba Haji Manara kumwangia sifa.

  Haji Manara akitumia Ukurasa wake wa Instagram msomaji wa kwataunit amesema kwa Uwezo wa Iddi Kipangwile anastahili kucheza Soka la kulipwa nje ya Nchi au hata unyamani Simba Sc Club ambao ndiyo vinara wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara VPL kwa sasa.

  Iddi kama atatua Simba ataungana na wachezaji kama Aishi Manula , Shomari Kapombe, Erasto Nyoni na John Bocco ambao nao walitoka Azam Msimu Uliopita.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY