Habari mpya kutoka Klabu ya Yanga Mchana Huu

  0

  Habari mpya kutoka Klabu ya Yanga Mchana Huu

  Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Yanga yenye wachezaji watano timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imetoa Taarifa kuwa wachezaji wake waliokuwa timu ya Taifa wanasafiri mchana huu kwenda Morogoro kuungana na wenzao wanaoendelea na kambi.

  Hata hivyo msomaji wa Kwataunit.comĀ  Wachezaji Ibrahim Ajibu, Gadiel Michael, Hassan kessy na Kelvin Yondani ndiyo watakaoungana na Timu huku Kabwili akiendelea kusalia Dar akiwa na Ngorongoro Heroes ambao wanajiandaa na Mchezo dhidi ya Congo wikiendi Hii.

   

  A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY