Edo Kumwembe ataja Mshambuliaji wake Bora Zaidi VPL

  0

  Edo Kumwembe ataja Mshambuliaji wake bora Zaidi VPL

  Mchambuzi maarufu wa Soka Nchini Edo Kumwembe ametaja Jina John Raphael Bocco kama mshambuliaji wake Bora zaidi kwa Watanzania wanaocheza Ligi Kuu VPL.

  Akitumia ukurasa wake wa Instagram Edo alipost Picha akiwa na Bocco akiandika Caption “With Top striker…nadhani ni bora zaidi kwa mastraika wanaokipiga ndani…Yes..kwa Watanzania JB…Le captino.. “

  Hata katika orodha ya wafungaji msomaji wa Kwataunit John Bocco anaongoza kwa Watanzania akiwa na Magoli Kumi nyuma ya Chirwa wa Yanga mwenye magoli 12 na Emmanuel Okwi mwenye magoli 16.

  Watanzania wanaomfuata Bocco ni Eliud Ambokile magoli 9 na Habib Kiyombo wa Mbao Fc magoli 8 sawa na Mohammed Rashid wa Prisons

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY