Baada ya Haji Manara kusema hawataki uzalendo kwa Yanga,Mkemi amjibu kwa dharau

  0

  Baada ya Haji Manara kusema hawataki uzalendo kwa Yanga,Mkemi amjibu kwa dharau

  Mara baada ya Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara kutangaza wazi wazi kuwa hawataki tena suala la kuonyesha uzalendo kwa Yanga wanapocheza mechi za Kimataifa Nyumbani.

  Mjumbe wa kamati ya Usajili klabu ya Yanga Salum Mkemi amemjibu kupitia Post Ile Ile aliyopost Haji Manara tena kwa majibu ya Dharau hivi kuwa Yanga hawawezi kufanya uzalendo kwa simba.

  Post ya Manara aliyoandika

  ” Naona huko mitandaoni baadhi ya wanayanga wanataja sababu mojawapo ya timu za bongo kutofanya vzuri uwanja wa nyumbani ni kukosa uzalendo kwa vilabu vyetu….wanalosahau wao nililisema hadharani mapema na nikabezwa na viongozi wao..leo ndio mwaujua uzalendo?
  Nawaambia kwa sasa tutafanya zaid yenu..kama tudini tudani….uzalendo wetu utabaki kwa timu za Taifa tu @azamtvtz@cloudstv @ommykaya “

  Jibu la Mkemi

  ” Haitatokea kamwe tuwafanyie uzalendo nyie vinyago”

   

   

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY