Simba kuondoka Kesho kuelekea Njombe

  0

  Simba kuondoka Kesho kuelekea Njombe

  Vinara wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara klabu ya Simba imetoa taarifa kuelekea mchezo wao wa Ligi kuu dhidi ya Njombe Mji.

  Simba itashuka Dimbani April 3 katika uwanja wa Sabasaba mjini Njombe kucheza na Njombe Mji.

  Simba kupitia Taarifa Yao Msomaji wa kwataunit.com imeeleza kuwa timu itaondoka Jumamosi Asubuhi kuelekea Mjini Njombe.

  Simba wanahitaji Ushindi wa Lazima ili kuweka Gap kati yake na Yanga ambapo timu hizo kwasasa zimelingana Points huku Simba ikiwa inafaida ya WASTANI MZURI wa  Magoli ya Kufunga na kufungwa pamoja na Mechi moja Mkononi ambayo ndiyo hiyo ya Njombe Mji.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY