Ahadi kubwa 2 Alizoahidi Niyonzima baada ya Kupona

  0

  Ahadi kubwa 2 Alizoahidi Niyonzima baada ya Kupona

  Kiungo Fundi wa Klabu ya Simba ambaye amekuwa nje ya uwanja toka mzunguko wa Kwanza wa Ligi kutokana na kuwa majeruhi ametoa ahadi mbili kwa wanamsimbazi mara baada ya Kupona.

  Niyonzima ambaye husifika zaidi kwa Kuwa na uwezo mkubwa wa Kuuchezea mpira na Kupiga pasi murua amesema ahadi yake ya Kwanza ni kuhakikisha anafanya bidii na kupata namba katika kikosi cha kwanza kama ilivyokuwa awali alipojiunga na Simba.

  Lakini jambo jingine msomaji wa Kwataunit aliloahidi Niyonzima  ni kuhakikisha anaipigania Simba mpaka ichukue Ubingwa. Kama ikitokea Simba ikishinda mechi zote 10 zilizosalia basi itakuwa haihitaji kuangalia matokeo ya timu nyingine itakuwa tayari ni mabingwa.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY