WEUSI, JUX, VANESSA MDEE NA RAMA DEE KUFANYA SHOW MKOANI MBEYA

WEUSI, JUX, VANESSA MDEE NA RAMA DEE KUFANYA SHOW MKOANI MBEYA

0


Kundi la Weusi wakiwa na Jux, Vanessa Mdee, Rama Dee WANATARAJIWA kukonga nyayo za wakazi wa mbeya leo tarehe 7/8/2016 katika ukumbu wa City Pub ambapo kiingilio kitakuwa shilingi 10,000 tu za kitanzania.
Show itaanza saa mbili usiku, Mkazi wa Mbeya na Vitongoji vyake si ya kukosa hii.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY