JUX – WIVU(LYRICS , MASHAIRI)

JUX – WIVU(LYRICS , MASHAIRI)

0


Verse 1
Niamini leo hii sitamani mwingine tena
Kazi zangu mishemishe nitarudi mapema
Unachonipa baby sitokaa nikuumize
Na zile raha unazonipa wewe

Pre Koras
Napenda unavyokata nakunipa taratibu
Mi ni mgonjwa wewe ni Doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu, we Tabibu * 2

Kiitikio
Usijefanya visa mi nina Wivu
Na moyo utaniumiza mi nina wivu
Naogopa watakuteka mi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu * 2

Verse 2
Katika ngoma ya mapenzi nakuona wewe, na vinanda vya Bob vyabembeleza/
Nishagoma kwingine kwako nipewe, umeniteka mazima  nimelegeza/
And everything I do for You  is from my Heart as You Know/
Na kila siku mimi napambana wee upate wewe/

Napenda unavyokata nakunipa taratibu
Mi ni mgonjwa wewe ni Doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu, we Tabibu * 2 (Unanipa Raha/Ni weeee)

Kiitikio
Usijefanya visa mi nina Wivu
Na moyo utaniumiza mi nina wivu
Naogopa watakuteka mi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu * 2

Aaaah Aaaah Aaaah aaaah (Mimi Nina Wivu,aaah watakuteka mi nina wivu aaah sitaki nile mbichi )

Kiitikio
Usijefanya visa mi nina Wivu
Na moyo utaniumiza mi nina wivu
Naogopa watakuteka mi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu * 2

Imeandikwa na Sharo Gangstar wa Kwata Unit, Mfollow Twitter, Instagram

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY