Hutaamini kiwango cha Bacteria Unachokipata kila unapopigana Denda (Romance),Hii ndiyo idadi..

Tokeo la picha la KISSING

Kupiga Denda (Romancing)  ni moja kati ya matendo yanayopendwa na watu wengi kwani huamsha hisia za kimapenzi, Lakini umewahi kujiuliza kuwa kuna uwezekano wa kubadilishana bakteria wengi wakati wa tendo hilo?

Kwa mujibu wa wataalamu bakteria hao husababishwa na mambo mengi, wengine kiasili hupatikana kwenye mate na wengine husababishwa na mabaki ya chakula yanayobaki kinywani.

Sasa wataalamu wanasema unapogiga denda (Romance) unaweza kubadilishana na mwezi wako bakteria kati ya milioni 10 mpaka bilioni 1, upo hapo mwana KwataUnit.com? usikose kuwa unatutembelea kila siku kwa habari mbalimbali.
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Powered by Blogger.